Karibu USHIMWATA, chama kinachowaunganisha wana Shinyanga, Mwanza, Tabora, Geita na Simiyu kwa kujenga umoja, ushirikiano, mahusiano mema na maendeleo ya wanachama na jamii..
UMOJA WA WANA SHINYANGA, MWANZA, TABORA, GEITA NA SIMIYU
USHIMWATA huwaunganisha wanachama wake kwa kujenga mshikamano, mawasiliano na ushirikiano, huku tukitoa msaada katika nyakati za shida na raha. Tunaendeleza fursa za kiuchumi, kuimarisha ujasiriamali na kuimalisha SACCOS kwa ajili ya kuinua kipato cha wanachama na jamii. Pia tunashirikiana na wadau katika kuhamasisha afya, utunzaji wa mazingira, utamaduni, maadili, amani na maendeleo ya jamii.
Our Functions
“Umoja, Ushirikiano na Maendeleo kwa Wanachama na Jamii.”

USHIRIKIANO
Umoja, Ushirikiano na Maendeleo kwa Wanachama na Jamii.

kIUCHUMI
Kuanzisha na kufanya shughuli mbalimbali za kiuchumi.

SACCOS
Kuimarisha SACCOS ya Umoja ili iweze kujiendesha kwa ufanisi na kujitegemea.

KUELIMISHA
Wanachama watautumia umoja na wadau wengine katika kutoa elimu.
What people are saying about us!
Lengo la Umoja
Kuwaunganisha wana USHIMWATA kwa kujenga mawasiliano, mahusiano na ushirikiano kati yao na jamii, pamoja na vyama vingine vyenye malengo kama ya umoja huu.
Mission
Kuwaunganisha wana USHIMWATA kwa kujenga mawasiliano, mahusiano na ushirikiano kati yao na jamii, pamoja na vyama vingine vyenye malengo kama ya umoja huu.
Our Vision
USHIMWATA inalenga kuwa mojawapo kati ya Jumuiya bora nchini Tanzania inayojali matakwa ya wanachama wake.
Explore our services
Karibu USHIMWATA, chama kinachowaunganisha wana Shinyanga, Mwanza, Tabora, Geita na Simiyu kwa kujenga umoja, ushirikiano, mahusiano mema na maendeleo ya wanachama na jamii
Umoja & Mshikamano
Kukuza na kudumisha ushirikiano wa karibu miongoni mwa wanachama wa USHIMWATA.
Kusaidiana katika Raha/Shida
Kusaidiana katika matukio mbalimbali ya kijamii yanayohusiana na shida na raha
Kuinuana kiuchumi
Kuanzisha na kufanya shughuli mbalimbali za kiuchumi kwa faida ya umoja na wanachama
Kufanya shughuli nyingine
Kufanya shughuli nyingine zozote muhimu zinazofanana na zilizoainishwa hapo juu ili kuweza kufikia malengo ya umoja kwa mujibu wa katiba.
Una maswali kuhusu USHIMWATA yetu?
Asante kwa kuonyesha nia yako kwa USHIMWATA. Tunajenga fursa za maendeleo kwa kuwawezesha wanachama wetu kupitia mshikamano, ujasiriamali, uwezeshaji wa kiuchumi na huduma bora za SACCOS—kwa lengo la kuongeza kipato, kuboresha maisha na kuimarisha jamii. Una swali? Tupo hapa kukusaidia!
Karibu USHIMWATA, chama kinachowaunganisha wana Shinyanga, Mwanza, Tabora, Geita na Simiyu kwa kujenga umoja, ushirikiano, mahusiano mema na maendeleo ya wanachama na jamii.
Contact Us
Email: maulizo@ushimwata.or.tz
Phone:+255749603911
Address: P.O Box 5, Post Code: 22, Mbeya
Resources
- Publications
- Reports
- Research
- News
- Gallery
- Privacy Policy
Useful Links
- About Us
- Our Programmes
- What We Do
- Our Impact
- Activities
- News & Insights
- Contact
