SHUGHULI ZETU

Umoja, Ushirikiano na Maendeleo kwa Wanachama wa USHIMWATA na Jamii wa ujumla.

UMOJA WA WANA SHINYANGA, MWANZA, TABORA, GEITA NA SIMIYU

USHIMWATA huwaunganisha wanachama wake kwa kujenga mshikamano, mawasiliano na ushirikiano, huku tukitoa msaada katika nyakati za shida na raha. Tunaendeleza fursa za kiuchumi, kuimarisha ujasiriamali na kuanzisha SACCOS kwa ajili ya kuinua kipato cha wanachama na jamii. Pia tunashirikiana na wadau katika kuhamasisha afya, utunzaji wa mazingira, utamaduni, maadili, amani na maendeleo ya jamii.

SHUGHURI ZETU

    • Kukuza na kudumisha ushirikiano wa karibu miongoni mwa wanachama wa USHIMWATA.
    • Kusaidiana katika matukio mbalimbali ya kijamii yanayohusiana na shida na raha.
    • Kuanzisha na kufanya shughuli mbalimbali za kiuchumi kwa faida ya umoja na wanachama
    • Kuimarisha na kuboresha uendeshaji wa SACCOS ya Umoja kwa lengo la kuhakikisha inakuwa endelevu na inajiendesha kwa kujitegemea
    • Wanachama watautumia umoja na wadau wengine katika kutoa elimu ya kutunza na kulinda afya ya jamii, mazingira, utamaduni, mila, desturi, maadili na amani katika jamii.
    • Kufanya shughuli nyingine zozote muhimu zinazofanana na zilizoainishwa hapo juu ili kuweza kufikia malengo ya umoja kwa mujibu wa katiba.

JIUNGE NASI

Kwa maoni, Ushauri na Msaada, Wasiliana nasi kwa kubofya kitufe hapo chini.

Explore our services

Umoja & Mshikamano

Kukuza na kudumisha ushirikiano wa karibu miongoni mwa wanachama wa USHIMWATA.

Kusaidiana katika Raha/Shida

Kusaidiana katika matukio mbalimbali ya kijamii yanayohusiana na shida na raha

Kuinuana kiuchumi

Kuanzisha na kufanya shughuli mbalimbali za kiuchumi kwa faida ya umoja na wanachama

Kufanya shughuli nyingine

Kufanya shughuli nyingine zozote muhimu zinazofanana na zilizoainishwa hapo juu ili kuweza kufikia malengo ya umoja kwa mujibu wa katiba.

 

Karibu USHIMWATA, chama kinachowaunganisha wana Shinyanga, Mwanza, Tabora, Geita na Simiyu kwa kujenga umoja, ushirikiano, mahusiano mema na maendeleo ya wanachama na jamii.

 

Contact Us

Email: maulizo@ushimwata.or.tz

Phone:+255749603911

Address: P.O Box 5, Post Code: 22, Mbeya

Resources

  • Publications
  • Reports
  • Research
  • News
  • Gallery
  • Privacy Policy

Useful Links

  • About Us
  • Our Programmes
  • What We Do
  • Our Impact
  • Activities
  • News & Insights
  • Contact