About USHIMWATA
UMOJA WA WANA SHINYANGA, MWANZA, TABORA, GEITA NA SIMIYU
USHIMWATA huwaunganisha wanachama wake kwa kujenga mshikamano, mawasiliano na ushirikiano, huku tukitoa msaada katika nyakati za shida na raha. Tunaendeleza fursa za kiuchumi, kuimarisha ujasiriamali na kuanzisha SACCOS kwa ajili ya kuinua kipato cha wanachama na jamii. Pia tunashirikiana na wadau katika kuhamasisha afya, utunzaji wa mazingira, utamaduni, maadili, amani na maendeleo ya jamii.
Lengo la Umoja
Kuwaunganisha wana USHIMWATA kwa kujenga mawasiliano, mahusiano na ushirikiano kati yao na jamii, pamoja na vyama vingine vyenye malengo kama ya umoja huu.
Mission
Kuwaunganisha wana USHIMWATA kwa kujenga mawasiliano, mahusiano na ushirikiano kati yao na jamii, pamoja na vyama vingine vyenye malengo kama ya umoja huu.
Our Vision
USHIMWATA inalenga kuwa mojawapo kati ya Jumuiya bora nchini Tanzania inayojali matakwa ya wanachama wake.
Shughuli Zetu
“Umoja, Ushirikiano na Maendeleo kwa Wanachama na Jamii.”

USHIRIKIANO
Umoja, Ushirikiano na Maendeleo kwa Wanachama na Jamii.

kIUCHUMI
Kuanzisha na kufanya shughuli mbalimbali za kiuchumi.

SACCOS
Kuimarisha SACCOS ya Umoja ili iweze kujiendesha kwa ufanisi na kujitegemea

KUELIMISHA
Wanachama watautumia umoja na wadau wengine katika kutoa elimu.
Karibu USHIMWATA, chama kinachowaunganisha wana Shinyanga, Mwanza, Tabora, Geita na Simiyu kwa kujenga umoja, ushirikiano, mahusiano mema na maendeleo ya wanachama na jamii.
Contact Us
Email: maulizo@ushimwata.or.tz
Phone:+255749603911
Address: P.O Box 5, Post Code: 22, Mbeya
Resources
- Publications
- Reports
- Research
- News
- Gallery
- Privacy Policy
Useful Links
- About Us
- Our Programmes
- What We Do
- Our Impact
- Activities
- News & Insights
- Contact
